Paramount
Studios na wanasheria wao wanamwambia Busta Rhymes “Gimme Some Money”.
Busta Rhymes ameshafanya kazi kwenye studio nyingi katika miaka yake 20
yakuwepo kwenye kiwanda cha muziki, Emcee huyo anaewakilisha New York
kwa sasa yuko matatizoni na moja ya studio za Paramount imeripotiwa na
TMZ. Busta alichukua muda wa studio kwa saa 375 kwa ajili ya kuwepo
studio kitu kilichokadiriwa malipo yake ni dola 70,300. Imeripotiwa
ilikuwa ni kati ya mwa mwishoni mwa 2011 na mapema 2012 kwa wakati huo
iliaminika Busta alirekodi albam inayoitwa “Year Of The Dragon” .Katika
project hiyo aliwashirikisha wakali kama Lil Wayne, Rick Ross na Gucci
Mane. Imekaririwa katika project hiyo mshiriki wake katika uzalishaji
mshikaji na Dj wa siku nyingi wa Busta Rhymes Dj Scratch hakuwepo kwenye
project hiyo. Kwa muda huo toka aliporekodi huko Busta Rhymes akasaini
na Cash Maoney Records ingawa inamaanika kuwa ni Universal Records,
ambapo amekuwepo toka alipoondoka Aftermath/Interscope mwaka 2006.
Lakini Busta hajajibu kitu chochote hadharani kutokana na ripoti hiyo.
No comments:
Post a Comment