
"Msanii M To The P aliyekuwa na marehemu Albert Mangwea, M To The P anaendelea vizuri na matibabu kama anavyoonekana kwenye picha hospitalini Helen Joseph huko Afrika ya Kusini..endelea kusikiliza Clouds FM na kutembelea www.cloudsfm.co kwa more stories...R.I.P Ngwair
No comments:
Post a Comment