Somalia's first permanent government in 22 years faces significant obstacles in getting the nation's economy back on track.
However, in comparison to the corruption rife in previous
administrations, President Hassan Sheikh Mohamud's government has so far
garnered positive reviews inside and outside the country, and
expectations are high that his administration is in a position to
jumpstart the economy.
If the government pursues innovative solutions in the
telecommunications, agriculture and fishing industries, and reduces
risks associated with tapping the country's natural resources, Somalia's
economy could see a well-needed lift that would also be a boost for
peace and development.
At present, the central government in Mogadishu collects
approximately $84 million per year in state revenues sources, such as
taxes on seaports and airports. It therefore must rely on direct support
from foreign governments as well as local and international
non-governmental organisations, and on the approximately $1.6 billion
each year in remittances, according to the United Nations. Although the International Monetary Fund recognised the Somali government in April, large-scale loans are not possible until its $352 million in debt is re-financed or cleared.
Miaka kumi tangu George W Bush
kutangaza kukamilika kwa vita nchini Iraq, shirika la misaada
lijulikanalo kama War Child limeelezea hali nchini humo kuwa mojawapo ya
mizozo iliyopuuzwa duniani.
Linasema kwamba takribani watoto 700 na vijana
walio na umri chini ya miaka 25 wamefariki katika ghasia nchini humo
katika muda wa miezi mitano iliyopita pekee.Shirika la War Child linasema Iraq ni mojawapo ya maeneo mabaya zaidi katika eneo zima la mashariki ya kati kuwepo mtoto.Na sio ghasia tu zinazowaua, na kuwadhalilisha watoto.
Ni athari za moja kwa moja kwa watoto hao.
Licha ya kwamba Iraq sasa ni nchi ya kipato cha kiwango cha wastani ikiwa na utajiri mkubwa wa mafuta, mtoto mmoja kati ya wanne wanaathirika na utapia mlo kutokana na lishe duni.
War Child inasema watoto Iraq wako nyuma katika masomo huku idadi ndogo ya wenye umri wa kati ya miaka 12 na 17 wakiwa katika shule za upili.
Ujumbe wa shirika hilo ni kwamba operesheni nchini humo haikukamilika kama alivyosema rais Bush.War Child linasema msada wa kila mwaka umepungua kutoka dola bilioni 20 mnamo mwaka 2005 hadi bilioni moja na nusu mwaka 2011.
Huku ghasia zikizidi shirika hilo limetoa wito kwa wafadhili kutoa usaidizi wa muda mrefu kwa Iraq unaolenga mahitaji ya watoto.
Lakini kuna shutuma inayofichika pia kuhusu umuhimu wa mambo ndani ya Iraq kwenyewe.
Pendekezo moja katika ripoti ya shirika hilo ni kuwa wafadhili wa kiamataifa wanapaswa kushinikiza mashirika ya kijamii nchini humo ili serikali iweze kuwajibishwa kuhusu utoaji wake wa huduma.