Karibu Pemba ni Blog yenye kukupa wingi wa habari na matukio yanayotokea kote duniani
kwa lugha tofauti kiingereza kiswahili na hata kiarabu
na lugha zoote ulimwenguni jiunge sasa kwa kupata habari moto moto
HUYU NDO MREMBO ATAKAYEWAKILISHA SHINDANO LA BIG BROTHER MWAKA HUU
Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwenye mitandao mbalimbali nchini Tanzania, mrembo huyu, mwanamuziki Feza Kessy,
ndiye atakayeiwakilisha Tanzania katika Big Brother Africa 2013 (BBA
“The Chase.” Well, hizi ni baadhi ya picha zake.
No comments:
Post a Comment