Thursday, May 2, 2013

HIVI NDIVYO FRANCIS CHEKA ALIVYOMZIMISHA MASHALI KWA KO

 
Thomas Mashali akidondoka nje ya ulingo baada ya kupigwa konde la Francis Cheka.
 
...Mashali akijaribu kurudi uwanjani bila mafanikio.
 
...Akisaidiwa kurudi ulingoni na mwamuzi.
 
...Cheka akimtupia konde Mashali.
 
...Cheka baada ya kumaliza kazi.
 
...Mashali akiwa hoi chini.
 
...Akiulizwa kama ataweza kuendelea.
 
...Mashali akijaribu kuinuka.
 
Francis Cheka akitangazwa kuwa mshindi baada ya kumpiga Mashali kwa KO raundi ya kumi.

No comments:

Post a Comment