Askari
wa vikosi vya Ulinzi na Usalama kisiwani Pemba, wakiwa katika zoezi la
kuondoa miili ya Marehemu waliopoteza maisha katika ajali ya kuangukiwa
na ukuta wa tangi la maji Machomanne Chake Chake Pemba
Miongoni mwa waliofariki wametambuliwa kuwa ni Salumu Muhidini (35) Juma Rashid mkazi wa Chanjani, na mmoja aliyejulikana kwa jina la maarufu la Golo (35).
Kwa mujibu wa taarifa za watu wakaribu wanasema ajali hiyo imetokea kutokana na vifaa duni visyivokuwa na uwezo wa kufanyia kazi hiyo ambayvo walikuwa wakivitumia mafundi hao.
Wananchi
mbali mbali wakiwa katika hospitali ya Chake Chake Pemba, wakitizama
miili ya ndugu zao waliopoteza maisha na majeruhi baada ya kuangukiwa na
mnara wa tangi la maji Machomanne Pemba
Wananchi
mbali mbali wakiuangalia mnara wa Tangi la maji Machomanne, ulioanguka
na kupoteza maisha ya wananchi watatu jana asubuhi huko Machomnne, Chake
Chake Pemba
Picha zote kwa hisani ya Voice of Zanzibar(VoZ) na Abdi Suleiman wa Pemba
No comments:
Post a Comment