ZAHLIFE: Chuo Cha Afya Mbweni ndio Mabingwa
Timu ya Chuo Cha Afya Mbweni, imetwaa ubingwa na kukabidhiwa kombe
la mashindano ya Vyuo Vikuu na Taasisi za elimu ya juu Zanzibar
(ZAHLIFE). Afya Mbweni walitwaa ubingwa huo baada ya kuwashinda
wapinzani wao Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu, katika fainali ya
mashindano hayo iliyopigwa viwanja vya Amani mjini Zanzibar, na
kuhudhuriwa na washabiki wengi hasa wanataaluma wa Elimu ya juu.
Mchezo huo uliokuwa na msisimko na ushabiki mkubwa, ulimalizika kwa
timu hizo kumaliza dakika 90 za mchezo bila ya kufungana, na ndipo
ilipoitishwa mikwaju ya penalti ambapo jumla ya penalti 7 zilipigwa kwa
kila upande.
Timu ya Afya Mbweni ilishinda kwa penalti 4 dhidi ya wapinzani wao Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu waliofunga penalti 3.
Akiwa mgeni rasmi katika fainali hiyo ya Taasisi za elimu ya Juu
Zanzibar, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,
alipongeza hatua ya taasisi hizo kuandaa mashindano ambayo yameibua
hamasa kubwa kwa wanamichezo hao.
Amesema ili kuhakikisha kuwa mashindano hayo yanafanikiwa zaidi na
kuibua vipaji vinavyohitajika, ni vyema maandalizi yake yakaanzia skuli
za msingi, sekondari na vyuo.
Ameiagiza Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kushirikiana na
Wizara ya Habari, Utamadani, Utalii na Michezo kuhakikisha kuwa
wanayaunga mkono mashindano hayo na kuleta ufanisi zaidi.
Katika hatua nyengine Maalim Seif amewaomba wafadhili na makampuni
ya Zanzibar kujitokeza kwa wingi kufadhili michezo ili kurejesha hadhi
ya soka Zanzibar.
Mashindano hayo yaliyozishirikisha timu 13 za taasisi za elimu ya
juu Zanzibar, yalidhaminiwa na Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ ambapo timu
ya Chuo cha usimamizi wa fedha Zanzibar Chwaka, iliibuka mshindi wa
tatu.
Lions 2013: five key questions ahead of Warren Gatland's side's game against Western Force
Five questions to consider before the British and Irish Lions' second game of the tour against Western Force on Wednesday.
1. Who will stand up against Western Force and put themselves in the
driving seat for a starting Test berth?
This is a genuine audition for Test places. It is not just players who have to
reach within themselves on a Lions tour to deliver of their best, so do
coaches, too. Warren Gatland has to genuinely show that he has an open mind
about his likely Test XV. That has to come through in his coaching and in
his selection. These guys have to believe they have a chance.
It didn’t happen with Graham Henry here in 2001. Every player will get a start
in one of the first three games. Seven players have yet to do so, including
injured captain, Sam Warburton, who is expected to take the field against
the Queensland Reds in Brisbane on Saturday. He trains fully for the first
time on Wednesday.
2. Can Tom Croft seize the moment as he did in 2009? Can Rory Best do a
Croft?
It will be fascinating to see if Best can take advantage of Dylan Hartley’s
brain-melt sending off and make the starting Test team. Wednesday will be
revealing in that regard. Best’s throwing to the line-out wobbled in the Six
Nations. If he nails his throws against the Force, he will be a strong
contender. Croft came from outside initial squad in 2009 to be one of the
players of the series.
___________________________________________________________________________________
___________________________________________________________________________________
Brazil v England: Alex Oxlade-Chamberlain allowed Wayne Rooney the chance to shine again for this country
Maybe the criticism had an effect. Maybe Roy Hodgson finally went on the offensive. Unprompted, the England manager had reeled off a host of statistics on the eve of this momentous encounter to defend himself and defend his team, thrown by the sharp accusation that the football was functional and a return to what Gary Lineker had cuttingly termed “the Dark Ages”.
But it was not until Hodgson took the bold step of withdrawing a defender,
Glen Johnson, and introducing attacker Alex Oxlade-Chamberlain that a light
went on last night. England finally, belatedly, were on the front foot.
Hodgson had not used the flat 4-4-2 system; instead it was 4-5-1 and never
4-3-3. But by bringing on the 19-year-old, playing him in central midfield
instead of Phil Jones, he was positive. Would he have done it had he not
been pilloried? That was the question.
Certainly as his frustration grew throughout the first-half, in which England
were inhibited, the passing poor, he probably could sense that the headlines
would once more be against him. He has clearly been hurt by the attacks.
Then there was another stat. And another one that would have appeared damning:
Wayne Rooney touched the ball once in the opening 14 minutes. His first
involvement was inauspicious also – he miscontrolled, allowing Thiago Silva
to steal away possession. Not a moment to remember.
It seemed to sum up his season; his fall from pre-eminence. It appeared
foreboding.
Brazil 2 England 2: match report
Read a full match report of the international friendly between Brazil and England at the Maracana, Rio de Janeiro, on Sunday June 2, 2013.
Just as England
fans were celebrating fine strikes from Alex Oxlade-Chamberlain and Wayne
Rooney with a crowing chant of “it’s just like watching Brazil”, the hosts
suddenly conjured up a goal from the old Brazil, from the old Maracana,
equalising through Paulinho’s fabulous volley.
Any frustration should not linger long for England. This was a highly
satisfying outcome for Roy Hodgson’s side, who would have been humiliated by
the break but for the marvellous reflexes of Joe Hart. A keeper
oft-criticised this season, not least by Roberto Mancini, demonstrated why
he remains England’s No 1. Neymar, Hulk, Oscar and Dani Alves went down the
tunnel at the interval wondering what they had to do to beat Hart.
Fred from Fluminense showed how to find a way past Hart 13 minutes into a
thunderous second half. But the memory of England’s subsequent character and
verve cannot be obscured by the beauty of Paulinho’s goal. There was more
belief when Oxlade-Chamberlain followed in the footsteps of his father,
Mark, who won here in 1984. There was the exuberance of youth, a welcome
fearlessness. Too often, England players seem weighed down by history and
nerves. Not Oxlade-Chamberlain. The Arsenal man clearly relished this
opportunity and particularly his central station.
Hodgson can be a cautious manager but this was an adventurous move. Phil
Jones, who had struggled to adapt to an advanced midfield role, switched to
right-back as Glen Johnson was withdrawn. Oxlade-Chamberlain immediately
started taking Brazilians on, clearly unfazed by the famous yellow shirts.
England were suddenly on the front foot.
The 67th-minute equaliser was a gem in creation and execution. Frank Lampard
and Jones combined on the right, working the ball inside to
Oxlade-Chamberlain, who darted forward 10 yards before laying the ball off
to Lampard. England’s captain found Rooney on the edge of the box and his
perfect 'set', as players call such lay-offs, was met sweetly by the right
foot of Oxlade-Chamberlain. The ball accelerated almost arrogantly past
Julio Cesar. It was a goal fit to help re-open such a renowned ground as
Maracana.
Ni ushindi wa kishindo walioupata jana Young African
wakiwa wamebeba Kikombe chao cha ushindi
Jinsi wau walivyofurika jana
YANGA YAIKOMOA SIMBA KWA BAO 2-0 JUMAMOSI YA JANA
Wachezaji wa Young Africans wakitoka Uwanja wa Gombani baada ya kumaliza
mazoezi leo asubuhi
SHEREHE ZA UBINGWA ZANOGA, YANGA YAICHAPA SIMBA 2-0
Wachezaji wa Young Africans wkishangilia bao la kwanza liliofungwa na mshambuliaji
Didier Kavumbagu (jezi namba 7)
kukabidhiwa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2012/2013 kwa Mabingwa wapya Young Africans zimenoga baada ya mabingwa wapya kuichapa timu ya Simba SC mabao 2 -0 katika mchezo uliofanyika katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na watazamaji wapatao elfu 60 huku kituo cha luninga cha Supersport kutoka nchini Afrika Kusini kikirusha moja moja kwa mchezo huo
Young Africans ambayo ilishatwaa Ubingwa wa VPL kabla hata ya Ligi kumalizika iliingia uwanjani kwa lengo la kuhakikisha inaiubuka na ushindi katika mchezo kitu ambacho ndicho kilichotkea kwa watoto wa Jangwani kwa kuibuka na ushindi huo.
Kikosi cha Young Africans kiliingia uwanjani kwa kuonyesha kinahitaji ushindi tangu mwanzo wa mchezo huku washambuliaji wake na nafasi ya kiungo wakiwaatesa wachezaji wa Simba na kushindwa kuonekana kabisa.
Mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Burundi Didier Kavumbagu alikuwa wa kwanza kuipatia Yanga bao la kwanza dakika ya 4 ya mchezo kwa kiichwa akimalizika mpira uliopigwa pia na mbuyu Twite kwa kichwa kufuatia kona iliyopigwa na kiungo Haruna Niyonzima.
Baada ya bao la hilo Yanga iliendelea kulishambulia lango la Simba kupitia kwa washambuliaji wake Saimon Msuva, Didier Kavumbagu na Hamis Kiiza na kama si umakini wa mlinda mlango Juma Kaseja basi Yanga ingeweza kuibuka na mabao mengi zaidi.
Mpaka dakika 45 za kipindi cha kwanza zinamalizika, Young Africans ilikua mbele kwa bao 1- 0.
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi huku Simba ikifanya mabadiliko ili kujaribu angalau kuweza kupata bao la kusawazisha, lakini ukuta wa Yanga ulikuwa imara kitu ambacho kiliendelea kuwapunguza makali washambuliaji wao.
Dakika ya 63 Hamis Kiiza aliipatia Yanga bao pili kufuatia mpira uliorushwa na mlinzi Mbuyu Twite kugusa kwa kichwa na Nadir Haroub 'Cannavaro' kabla ya kumkuta Hamis Kiiza aliyeukwamisha mpira wavuni na kuhesabu bao la pili.
Nizar Khalfani aliyechukua nafasi ya Hamis Kiiza nusura aipatie Yanga bao la tatu dakika ya 88 ya mchezo baada ya mpira wa adhabu alioupiga kuokolewa na mlinda mlango Juma Kaseja ambaye ilibidi atibiwe kwa dakika kadhaa kufuatia kupata maumivu.
Dakika ya 89 ya mchezo mwamuzi Martin Saanya ilibidi atibiwe kufuatia kuishiwa nguvu ghafla wakati akiamulia kutokuelewana kwa wachezaji Nassoro Masoud 'Chollo' na Didider Kavumbagu, huduma ya kwanza na madaktari walimpa msaada akaamka kisha kuendelea na pambano.
Mpaka dakika 90 za mchezo zinamalizika, Young Africans 2 - 0 Simba SC.
Kikosi cha Yanga: 1.Ally Mustafa 'Barthez', 2.Mbuyu Twite/Juma Abdul, 3.David Luhende, 4.Nadir Haroub 'Cannavaro' (c), 5.Kelvin Yondani, 6.Athumani Idd 'Chuji' 7.Saimon Msuva, 8.Frank Domayo, 9.Didier Kavumbagu, 10.Hamis Kiiza/Nizar Khalfani, 11.Haruna Niyonzima
Simba : 1.Juma Kaseja, 2.Nassoro Msoud, 3.Haruna Shamte, 4.Mussa Mudde, 5.Shomari Kapombe, 6.Wlilliam Lucian, 7.Mwinyi Kazimoto, 8.Abdallah Sesseme, 9.Mrisho Ngassa, 10.Amri Kiemba/Jonas Mkude, 11.Haruna Chanongo/Abdallah Singano
London marathon yaanza
21 Aprili, 2013 - Saa 09:33 GMT
Siku sita baada ya shambulio la bomu kwenye marathon ya mjini Boston, Marekani, marathon ya London nayo imeanza kati ya ulinzi mkubwa.
Polisi wamesisitiza kuwa hakuna ishara ya tishio la kuanganisha mbio hizo mbili, lakini wameweka askari mamia zaidi mabarabarani ili kuthibitisha usalama wa wale wanaoshiriki.
Watu zaidi ya 30,00o wanatarajiwa kushiriki kwenye mashindano hayo, na watazamaji nusu milioni watajitokeza.
Bayern yaitandika 4-0 Barcelona
23 Aprili, 2013 - Saa 21:19 GMT
Mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich wamejiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya baada ya kuitandika Barcelona 4-0 katika mchezo wa kwanzawa nusu fainali nchini Ujerumani.
Mabao mawili ya Thomas Müller, na yale ya Mario Gomez na Arjen Robben yaliizamisha Barcelona ambayo ilikuwa na nyota wake wote wakutegemewa,akiwemo Messi ambaye alikosa michezo kadhaa kabla ya kuanzishwa usiku huu.Hii imekuwa mara ya kwanza kwa Barcelona kufungwa mabao 4-0 tangu mwaka 1997 walipofungwa na Dynamo Kiev ya Urusi mwaka 1997 kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani ulaya.
Bayern Munich wametoka kutawazwa kuwa mabingwa wa Ujerumani wiki chache zilizopita na iwapo watafanikiwa kuiondosha Barcelona na kutinga hatua ya fainali ya michuano ya klabu bingwa, itakuwa fainali yao ya tatu kushiriki ndani ya miaka minne.
Kocha wa Bayern Munich Jupp Heynckes awali alisema haogopeshwi na urejeo wa Lionel Messi,na katika mchezo huo Messi hakuonekana kuwa katika kiwango chake cha siku zote.
Matokeo haya yanafanya mchezo wa marudiano utakaochezwa wiki ijayo kuwa mgumu kwa Barcelona kwani haijawahi kutokea timu kwenye michuano ya klabu bingwa barani Ulaya kufungwa magoli manne na zaidi katika mchezo wa kwanza kisha kuyarejesha katika mchezo wa marudiano na kufuzu hatua inayofuata.
Baada ya Bayern Munich kuichabanga Barcelona, Jumatano usiku mahasimu wa Barcelona, Real Madrid nao watakuwa na kibarua kikubwa mbele ya Borussia Dortmund kwenye uwanja wa Signal-Iduna-Park,mchezo utakaofanyika majira ya saa nne kasorobo kwa saa Afrika Mashariki.
Leo ni vita,Bayern Munich na Barcelona
23 Aprili, 2013 - Saa 05:10 GMT
Kocha wa Bayern Munich, Jupp Heynckes amesema haogopeshwi na urejeo wa nyota wa Barcelona, Lionel Messi kuelekea mchezo huo wa kwanza wa nusu fainali ya klabu bingwa barani Ulaya.
Messi hajacheza mchezo wowote wa Barcelona toka alipoingia kama mchezaji wa akiba na kuisaidia timu yake kufuzu nusu fainal katika mchezo robo fainali dhidi ya Paris St-Germain ya Ufaransa. Lakini kuna kila dalili Muanjetina huyo mwenye umri wa miaka 25 ambaye ndiye mchezaji bora wa dunia kwa sasa,akajumuishwa kwenye kikosi cha Barcelona kwenye mchezo wa usiku wa leo.
Mwezi uliopita Messi aliweka rekodi kwenye ligi ya Hispania kwa kuwa mchezaji aliyezifunga timu zote zinazoshiriki ligi kuu nchini humo maarufu kama La Liga kwa misimu miwili mfululizo.
Barcelona inapambana kutaka kutwaa taji la tatu la klabu bingwa barani Ulaya ndani ya miaka mitano,Huku Bayern Munich ambao msimu ujao watakuwa chini ya aliyekuwa kocha wa Barcelona, Pep Guardiola, wao wanapambana kutafuta nafasi ya kucheza fainali yao ya tatu ndani ya miaka minne.
Wakati Barca wakiwa hawajaweka wazi kama watamuanzisha Messi au la, Baadhi ya wachezaji wa Barcelona akiwemo Xavi Hernandez alinukuliwa siku ya jumatatu akisema, kombe la ligi kuu nchini Hispania, La Liga lina umuhimu mkubwa kuliko klabu bingwa barani Ulaya.
Mechi hiyo itachezwa kwenye uwanja wa Allianz Arena mjini Munich nchini Ujerumani,majira ya saa nne kasorobo usiku kwa saa Afrika Mashariki.
Arsenal v Manchester United: live
Follow live coverage of the Premier League game between Arsenal and Manchester United at the Emirates Stadium on Sunday April 28, 2013, kick-off 16.00 (BST).
Latest
ARSENAL 1 MANCHESTER UNITED 1
62 min Everyone's favourite Arsenal player named Jack Wilshere is on,
for Rosicky.
61 min Koscielny makes a crucial interception as Rooney cooked a
defence splitting one-time pass to Nani which would have put the winger
through in the box. Previously Sagna was very fortunate to escape a second
yellow for a late lunge on Evra.
59 min Some challops from Phil Dowd, who doesn't believe that Evans
going through the back of Ramsey doesn't qualify as a foul. United look like
breaking, but Arsenal get numbers back to cut it out. Henry Winter
has spotted a banner he disagrees with at the Emirates: